Raisi wa Japan Ametangaza Michezo ya Olympic Itaendelea | Spotimix.

Raisi wa Japan Yoshiro Mori ametangaza kuwa michezo ya Olympic itaendelea kama kawa licha ya mlipuko wa ugonjwa wa Corona. :

Ugonjwa huo umechukua uhai wa maelfu ya watu umekuwa tishio kubwa sana nchini China ambao ni majirani. Japan na China wametanganishwa na bahari umbali wa 3054 km.
:
✍️ Kama tunavyojua asilimia kubwa ya miundo mbinu, historia ya maandishi, masuala ya uinjinia, dini falsafa ya Japan yametokana na China. Ni mataifa ambayo yanashabihiana sana kiutamaduni.
:
✍️ Raisi wa Japam amesema licha ya maswahiba wao kuwa katika haki ya tahadhari kwao bao haiwezi kuwa sababu ya kusitisha michuano hiyo.
:
✍️ Raisi Mori ni kipenzi cha michezo, na amekuwa msaada mkubwa sana katika kuboresha miundo mbinu na utekelezaji wa sera za michuano hii ya Olympic. Mori ndiye raisi wa kamati kuu ya maandalizi ya mashindano ya Olympic mwaka huu.
:
✍️ Mori (81) aliwahi kushikilia cheo cha raisi wa chama cha Rugby cha Japan ambapo aling'atuka mwaka jana kwa kile alichodai kuwa ni muda sasa Rugby kuendeshwa na vijana.
:
✍️ Raisi huyo alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha michezo ya kombe la dunia ya Rugby kwa mara ya kwanza katika bara la Asia huko Japan. :
✍️ Mori alianza kujihusisha na michezo tokea akiwa na miaka 7 baada ya mama yake kupoteza uhai akiwa mdogo jambo ambalo lilimsukuma zaidi katika michezo.
:
✍️ Raisi hiyo amekuwa mstari wa mbele kusaidia vijana wadogo kufikia malengo yao ya kimichezo kwani anajua shida alizokumbana nazo katika harakati zake za kuwa mchezaji Rugby.
:
Enzi zake alijiunga na timu ya Rugby Unioni ya Uingereza ambayo ni klabu kubwa katika mashindano ya Rugby

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post
Ads1
Ads2